Mauzo na Masoko

Kuweza kutekeleza Mbinu za mauzo na kufanikiwa ni moja ya ufanisi bora unaotumika kama Mpango au mkakati wa mauzo. Kuna mbinu nyingi sana za kuweza kuchagua na kuzitumia. wafanya biashara wadogo  na wauzaji wengi wanatafuta Mbinu bora zinazokizi mitindo na mifumo yao ya biashara.

Mbinu bora zitumikazo na wauzaji wakaweza kufanikiwa ni kama;

  • Kuvunjavunja mipango/mkakati mkubwa kuwa malengo madogo(breaking down large goal into smaller targets)
  • Pangilia mpango wa kiutendaji(setting activity goals)
  • Lenga katika huduma kwa wateja(focusing on Customer Service)
  • Chunguza wauzaji wenye sifa wanaoongoza katika masoko(pursuing qualified sales leads)

 

 

Mauzo na Masoka

Simamia mkakati au Malengo yako ya mauzo(Manage your sales Target)

Unaweza kufanikisha hili kwa kuvunjavunja mpango(goal) wako wa mwaka mzima katika mikakati ya robo mwaka, mwezi na hata wiki. Kufikia malengo haya unaweza jishindanisha wewe na timu yako kwa malengo ya wiki mliojiwekea kwa kubandika maendeleo(progress) ya mpango huo wa wiki katika ubao ambao kila mtu anaweza kuona. Kwa wale watakao fanya vizuri wapewe Tuzo ya wiki, hii itawapa  motisha  wengine walio katika timu yako kufanya vizuri zaidi.

Pangilia mpango wa kiutendaji(setting activity goals)

Husisha harakati(activity) za mauzo kama mkakati  wa malengo(plan) uliyonayo. Angalia  kumbukumbu ya shughuli zilizopita, pitia namba za simu, barua pepe, mapendekezo, miadi  pamoja na kufatilia mawasiliano yaliyofanyika na wauzaji bora(successful sales person) katika ofisi yako. Tumia hizi taarifa kupangilia mpango wa kiutendaji katika kuuza kwa wepesi. Pitia majukumu yako ya kila wiki, fanya tathimini ya majukumu gani yanaongeza mauzo na yapi hayaongezi. Kisha rekebisha mkakati au shughuli za mpango(plan) wako ipasavyo.

Read More: Mauzo zaidi

Toa huduma bora kwa wateja

Wekeza juhudi zako katika kutoa huduma bora kwa wateja. Kuza hati ya uuzaji binafsi kwa kutambulisha wateja wapya kwenye  bidhaa au huduma mpya. Wapatie wateja wako umakini/usikivu wakutosha, pia lenga katika kukamilisha kile wanachokihitaji kuliko kulenga katika kuuza  tu ilimradi. Tangulia kuuliza maswali, uhitaji na suala la mbeleni analolitarajia. Toa huduma bora kwa wateja mara kwa mara/ kwa mfululizo, pia toa mapendekezo kwa mteja kwa lugha nzuri ya mdomo, ongeza mauzo na punguza muda wa utafutaji.

Njia 5 bora yenye uwiano katika kuongeza masoko na mauzo

 

Mauzo na Masoka

  1. Weka maagano/mkataba(Make an Agreement)

Uuzaji na masoko vinatakiwa kufanya kazi pamoja katika kutambulisha maagano ambayo kwa ujumla wake yanaleta mafanikio.

  1. Afiki/ kubali katika ufafanuzi Fulani(Agree on Certain Definitions)

Masoko yanatakiwa yawe na ufafanuzi wa mapatano yaliyotumika katika mkataba. Mapatano hayo mawili yanatakiwa kukubaliana kuleta mwelekeo na fursa mpya katika biashara.

  1. Unda ubao unaoonekana (Create Accessible Dashboards)

ubao unatoa uwajibikaji, muonekano, pamoja na uaminifu kwa kutoa takwimu ya mapato yatokanayo na uwekezaji(offering ROI figures). Na unaweza saidia kwa kutoa ukweli pekee wa majibu na timu zote kuweza kuzipata. Hii inaondoa ile zana ya muuzaji kusingizia masoko kwa kutokufikia malengo aidha kinyume chake (isipokuwa pale takwimu itakapo ainisha ukweli).

  1. Tumia zana shirikishi(use collaborative tools)

Kitengo cha masoko kinatakiwa kutumia zana za mitandaoni katika kushirikishana na kufahamishana juu ya programu tofauti, maendeleo na matokea mbalimbali katika masoko. Zana bora nikuhusisha ushirikishwaji, matangazo ya ndani pamoja na kutoa taarifa katika ubao wa mitandaoni.

  1. Boresha kuongoza katika ubora(improve lead quality)

Sehemu ya mapatano katika masoko na mauzo yako yanatakiwa yahusishe kuongoza katika ubora. Ambayo matokeo yake ni kuongoza kwa kuwa na wateja wengi na pesa nyingi zitokanazo na mauzo ya bidhaaau huduma unazotoa.

Kujua zaidi jinsi gani unaweza kukuza na kuongeza Mauzo zaidi  tafadhali bonyeza HAPA.