Epuka vitu hivi kwenye mitandao ya kijamii
Mitandao ya kijamii ni moja ya platform kubwa ya kibiashara lakini pia inaweza kuwa kikwazo kwa biashara mpya na wauzaji. Inatoa nafasi kubwa ya kibiashara, lakini pia ina vikwazo vyake. Kama inaweza kutumiwa vibaya njia hii inaweza kuwa mbaya na kuleta madhara kwenye biashara husika.
Read More