42% ya kampuni hazisikilizi wateja wake.
“Tunampa kipaumbele mteja kwanza!” (We put the Customer First). Bila shaka umewahi...
Read MorePosted by Maliki John | Jun 17, 2019 | Competitive Research, Digital Marketing, Sales and marketing
“Tunampa kipaumbele mteja kwanza!” (We put the Customer First). Bila shaka umewahi...
Read MorePosted by Maliki John | Jun 10, 2019 | Digital Marketing, Sales and marketing
Mitandao ya kijamii imebadilisha kabisa jinsi tunavyoishi maisha yetu kwa sasa. Kutoka kwa njia zinazotupatia habari zetu za kila siku na kwa jinsi tunavyowasiliana na wapendwa wetu. Mitandao ya kijamii sasa imeenea kila mahali. Haiwezi kuepukika, imekuwa na nguvu kubwa mno.
Read MorePosted by Maliki John | May 30, 2019 | Digital Marketing
Ukiwa na biashara yenye physical location (Ofisi) ambapo wateja wanaweza kukutembelea basi makala hii ni kwaajili yako, kwasababu ndani yake utapata kuona vidokezo vya namna unavyoweza kuiweka biashara yako iweze kuonekana kwenye google search.
Hasa utapata kuona umuhimu wa kuiweka biashara yako iwe inapatikana kupitia google search..
Posted by Maliki John | May 27, 2019 | Digital Marketing, Uncategorized
Sponsored Ads (Matangazo yaliyofadhiliwa) ni soko ambalo mtangazaji utafuta matokeo bora katika biashara au huduma anayoitoa. Inaweza kuwa njia ngumu kwa baadhi yao lakini ni muhimu sana katika kufanya kampeni yeyote inalolenga kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi na katika eneo husika
Read MorePosted by Maliki John | May 2, 2019 | Digital Marketing
Kuendesha biashara kunahitaji mbinu na mikakati kabambe ili kuweza kukuza na kuimarisha biashara...
Read MoreJoin our mailing list to receive the latest news and updates about how to improve your online presence of your business
Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.