ERP SYSTEM ndio mkombozi wa biashara na makampuni
Umeshawahi kujiuliza kwanini unatumia muda mrefu sana kufanya mahesabu, kusimamia shughuli za...
Read MorePosted by Maliki John | Jan 22, 2020 | Business Services
Umeshawahi kujiuliza kwanini unatumia muda mrefu sana kufanya mahesabu, kusimamia shughuli za...
Read MorePosted by Maliki John | Jan 14, 2020 | Digital Marketing
Ikiwa biashara yako au huduma unayotoa ina eneo rasmi/halisi, basi moja ya mambo ambayo unahitaji...
Read MorePosted by Maliki John | Jan 8, 2020 | Digital Marketing
Kila mwaka mpya unapoanza unakuja na malengo mapya. Malengo haya yanaweza kuwa ya mtu binafsi, biashara lakini hata kampuni. Msingi mkuu wa malengo haya ndio dira ya mafanikio katika kila jambo ulilolipanga. Hii inamaana kuwa bila kuwa na malengo katika ,ila jambo basi unajiandaa kutofanikiwa katika jambo hilo.
Read MorePosted by Maliki John | Dec 3, 2019 | Branding
Unatumia mitandao ya kijamii? Si ndio? Au? Na kama ni ndio, ni mara ngapi umeshawahi kufikiria kwa jinsi gani unaweza kuitumia mitandao hiyo kuimarisha kazi yako? Bila shaka sio mar azote umekuwa ukifikiria hilo. Chukua mfano wa mtandao wa Instagram, mara nyingi umekuwa ukitumia mtandao huu kupost, kulike picha pamoja na kushare picha zile zinazokuvutia.
Read MorePosted by Maliki John | Nov 20, 2019 | Digital Marketing, Sales and marketing
Unajua kuwa zaidi ya 78% ya biashara nyingi kwa sasa zimejikita kwenye mitandao ya kijamii? Asilimia hii ni kubwa zaidi ukilinganisha na miaka mitano iliyopita. Kampeni za mauzo mbalimbali zainazofanywa kupitia mitandao ya kijamii zinaonyesha kuzaa matunda zaidi kuliko zile za namna nyingine. Na hii imekuwa ndio chachu hasa kwa wafanyabiashara kutumia kama njia ya kuongeza mauzo.
Read MoreJoin our mailing list to receive the latest news and updates about how to improve your online presence of your business
Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.