Mitandao ya kijamii katika kupata maoni ya mteja wako
Zipo njia mbali mbali za kukusanya maoni ya wateja. Mara nyingi njia ya utafiti (Survey) ndio njia...
Read MorePosted by Maliki John | Jan 22, 2019 | Digital Marketing
Zipo njia mbali mbali za kukusanya maoni ya wateja. Mara nyingi njia ya utafiti (Survey) ndio njia...
Read MorePosted by Maliki John | Jan 18, 2019 | Sales and marketing
Maisha ya sasa mnunuzi anakuwa na nguvu kubwa inapofika wakati wa kufanya maamuzi ya kununua bidhaa au hata huduma. Unapaswa pia kufahamu kuwa mara nyingi huwa wanafanya utafiti wao kupitia mtandaoni. Lakini unapaswa kujiuliza, je, umejaribu kuweka mfumo wa mipango yako ya masoko unaoendana na mfumo wa mnunuzi wa bidhaa wa nyakati hizi?
Read MorePosted by Maliki John | Jan 16, 2019 | Business Plans, Business Services
Kushindwa katika biashara sio jambo la kufikiria unapokuwa unataka kuanzisha biashara. Takwimu iliyotolewa mwaka 2017 na Tasisi ya uongozi wa biashara ndogondogo (SBA) inaonyesha kuwa zaidi ya 30% ya biashara zinazoanzishwa huwa zinakufa katika mwaka wa kwanza tu wa kuanzishwa kwake huku 50% zinadumu kwa miaka 5 tu na 60% zinadumu kwa miaka 10.
Read MorePosted by Maliki John | Jan 15, 2019 | Business Services, Competitive Research, Digital Marketing, Sales and marketing
In today’s digital world, nearly everyone is connected in some way to the World Wide Web. The internet is used by literally millions of people, all of them are looking for something and some of them might be looking for you, in order to satisfy their entertainment, education, research and consumer needs. The popularity of the Internet has prompted businesses of all sizes to have an online presence in the form of a Website.
Read MorePosted by Maliki John | Jan 14, 2019 | Business Services, Digital Marketing, Sales and marketing, Website Design Company
Kama mfanyabiashara siku zote unatizama katika upande bora zaidi, upande wa maendeleo. Hii ina maana siku zote unapenda kuiona Biashara yako ikikua na kupanuka zaidi. Pia unaweza kuwahudumia wateja wengi zaidi na faida inazidi kuongezeka.
Read MoreJoin our mailing list to receive the latest news and updates about how to improve your online presence of your business
Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.