Author: admin

Mambo 5 Bosi Wako Anataka Uboreshe 2019

Ni jadi kuweka maazimio ya Mwaka Mpya, na kwa watu wengi mfano Bosi pamoja na wafanyakazi, malengo haya yanahusisha kuboresha mambo katika maisha yao binafsi, kama afya na kujiendeleza kiuchumi. Fikiria muda gani unaotumia kwenye kazi yako, hata hivyo, utaona kuwa ni busara kuweka baadhi ya maazimio yanayohusiana na mahali pako pa kazi pia.

Read More

Jinsi ya kuingiza kipato “Valentine’s day”

Tarehe 14, Februari kila mwaka Dunia huwa inaadhimisha siku ya wapendanao (Valentine’s Day). Bila shaka ni siku inayoibua hisia kubwa kwa watu mbalimbali ulimwenguni. Hata hivyo, watu wenye mawazo ya biashara wanaangalia fursa za ujasiriamali za kupata pesa katika siku hiyo.

Read More

Mbinu mpya za kutafuta masoko 2019

Masoko mazuri hayatokei tu hivi hivi. Mikakati bora huja kwa kukipa kipaumbele kila ambacho watu hujali na jinsi mahitaji yao yanavyobadilika kwa muda. Katika soko la leo ambalo uongozwa na mlaji, haitoshi tu kwa kupaza sauti sana au kutumia gharama sana.

Read More

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest