Author: admin

YouTube Viewers wanavyoweza kukuingizia Fedha

Hakuna shaka kuwa leo YouTube imekuwa ndio sehemu maalum ya kuangalia video mbalimbali kama ilivyokuwa Google katika miaka ya nyuma. Kwa hakika Youtube sasa ni “Search engine” ya pili kwa ukubwa Duniani ikiwa na watu zaidi ya bilioni 1,8 waliojisajili kwenye tovuti hiyo ya kuangalia video ambayo kila siku uangaliwa video zaidi ya bilioni 5.

Read More

Jinsi ya kuanza kufanya biashara ya rejareja

Biashara za rejareja ni kuuza vitu au kutoa huduma kwa wateja kwa ajili ya matumizi ya kawaiada au kwa ajili ya kutafuta furaha. Mara nyingi huuza vitu na huduma katika duka lakini vitu vingine vinaweza kuuzwa mtandaoni au kupitia simu na kisha kutumwa kwa wateja.

Read More

Subscribe

Recent Tweets

Subscribe To Our Newsletter

Join our mailing list to receive the latest news and updates from our team.

You have Successfully Subscribed!

Pin It on Pinterest